Loading...

Rekodi mpya ya Christiano Ronaldo Ligi ya Mabingwa Ulaya


Cristiano Ronaldo ameweka rekodi ya kuwa mchezaji wa kwanza kufunga mabao katika mechi mbili za fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya, mfululizo.

Ronaldo amefunga mabao mawili leo wakati Real Madrid ikishinda 4-1 dhidi ya Juventus na kubeba ubingwa wa Ligi ya Mabingwa Ulaya kwa mara ya pili mfululizo.

Wakati katika fainali iliyopita, Madrid iliishinda Atletico Madrid na kubeba ubingwa, Ronaldo akiwa kati ya wafungaji.


Cristiano Ronaldo ameithibitishia dunia yeye ni mchezaji wa aina yake baada ya kuweka rekodi ya kuwa mfungaji Bora wa Ligi ya Mabingwa Ulaya kwa misimu mitano mfululizo.

Ronaldo amefunga mabao mawili wakati Real Madrid ikiitwanga Juventus kwa mabao 4-1 na kube ubingwa wa Ulaya.

Mabao hayo mawili yamemfanya amfikie na kumvuka mpinzani wake, Lionel Messi wa Barcelona ambaye alikuwa na mabao 11.

MISIMU

  • 2017- Mabao 12
  • 2016- Mabao 16
  • 2015-Mabao 10
  • 2014- Mabao 17
  • 2013-Mabao 13.
Rekodi mpya ya Christiano Ronaldo Ligi ya Mabingwa Ulaya Rekodi mpya ya Christiano Ronaldo Ligi ya Mabingwa Ulaya Reviewed by Zero Degree on 6/04/2017 10:05:00 AM Rating: 5

Powered by Blogger.