Loading...

Matokeo ya mechi za kirafiki za kimataifa


Timu za taifa za mataifa tofauti zilishuka viwanjani usiku wa jana katika kucheza michezo ya kirafiki ya kimataifa.


Timu ya taifa ya Italia wakicheza katika dimba la Allianz Riviera walibuibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Uruguay, Japan wakatoshana nguvu na Syria kwa sare ya bao 1-1.

Hispania wakashindwa kutamba mbele ya Colombia kwa kuambulia sare ya mabao 2-2 mchezo ukicheza dimba la La Condomina

China wakashinda kwa kishindo kwa kuwachapa Ufilipino kwa mabao 8 - 1, Finland na Liechtenstein wakatatoshana nguvu kwa sare ya 1-1, Iran nao wakaambulia sare ya bila kufungana na Korea kusini.
Matokeo ya mechi za kirafiki za kimataifa Matokeo ya mechi za kirafiki za kimataifa Reviewed by Zero Degree on 6/08/2017 12:25:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.