Loading...

Mourinho alaumiwa kwa kumsajili Victor Lindelof


Kiungo wa zamani wa Manchester United, Ray Wilkins amedai kwamba kocha wa Manchester United, Jose Mourinho amechemsha kumchukua mlinzi wa Benfica na timu ya taifa ya Ureno, Victor Lindelof na badala yake angemchukua mlinzi wa Burnley, Michael Keane ambaye aliwahi kuwa kinda wa timu hiyo.


Wilkins anaamini kwamba Lindelof aliyechukuliwa kwa dau la Pauni 34 milioni hana uzoefu na Ligi Kuu ya England na badala yake angechukuliwa Keane ambaye ana uzoefu wa moja kwa moja katika Ligi Kuu ya England pia aliwahi kucheza Manchester United.
Mourinho alaumiwa kwa kumsajili Victor Lindelof Mourinho alaumiwa kwa kumsajili Victor Lindelof Reviewed by Zero Degree on 6/16/2017 12:49:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.