Loading...

Sasa ni rasmi, Okwi amesaini miaka miwili kuitumikia Simba SC

Mshambuliaji Emmanuel Okwi amesaini mkataba wa miaka miwili kuichezea Simba.


Okwi amesaini mkataba huo hivi punde mbele ya Makamu Mwenyekiti wa Simba, Geofrey Nyange 'Kaburu' huku bilionea Mohammed Dewji akishuhudia.

Okwi alitua nchini jana akitokea kwao Uganda na leo amemalizana na Simba ambayo anakuwa amejiunga nayo kwa mara ya tatu.
Sasa ni rasmi, Okwi amesaini miaka miwili kuitumikia Simba SC Sasa ni rasmi, Okwi amesaini miaka miwili kuitumikia Simba SC Reviewed by Zero Degree on 6/26/2017 01:01:00 AM Rating: 5

Powered by Blogger.