Loading...

Banda atangaza kuondoka Simba SC rasmi


Beki wa Simba na timu ya taifa ‘Taifa Stars’ Abdi Banda leo anaondoka Tanzania kwenda Afrika Kusini kujiunga na timu yake mpya ya Baroka FC inayoshiriki ligi kuu Afrika Kusini (PSL).


Banda amesaini mkataba wa miaka mitatu kuitumikia Baroka na tayari kila kitu kimeshakamilika licha ya awali kupishana na viongozi wa Simba baada ya kuomba kupewa barua ya kumruhusu kuondoka (release letter).

Source: ShaffihDauda
Banda atangaza kuondoka Simba SC rasmi Banda atangaza kuondoka Simba SC rasmi Reviewed by Zero Degree on 7/13/2017 11:02:00 AM Rating: 5

Powered by Blogger.