Loading...

TANZIA: Waziri wa zamani katika serikali ya Rais Daniel Arap Moi afariki akiwa na miaka 77

Nicholas Biwott
Waziri wa zamani katika serikali ya Rais Mstaafu Daniel Arap Moi, Nicholas Biwott amefariki dunia akiwa na miaka 77 baada ya kuugua kwa muda mrefu.


Biwott amabaye alitambuliwa kwa jina la Kimajansi kama Total Man alikuwa waziri mwenye ushaushi mkubwa wakati wa utawala wa chama cha KANU ambako aliwahi kuwa Waziri wa nishati.

Kifo cha Total Man kimekuja ikiwa ni siku chache tangu alipofariki Waziri wa Mambo ya Ndani wa kenya Joseph Nkaissery aliyefariki Jumamosi iliyopita.
TANZIA: Waziri wa zamani katika serikali ya Rais Daniel Arap Moi afariki akiwa na miaka 77 TANZIA: Waziri wa zamani katika serikali ya Rais Daniel Arap Moi afariki akiwa na miaka 77 Reviewed by Zero Degree on 7/11/2017 07:32:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.