Loading...

Rais Magufuli ateua mwenyekiti wa Bodi ya mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB)


Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Profesa William Anangisye kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB). Prof. Anangisye ni Mkuu wa Chuo Kishiriki chja Dar es Salaam (DUCE).

Rais Magufuli ateua mwenyekiti wa Bodi ya mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) Rais Magufuli ateua mwenyekiti wa Bodi ya mikopo  ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) Reviewed by Zero Degree on 8/10/2017 10:01:00 AM Rating: 5

Powered by Blogger.