Loading...

Majibu ya Zidane juu ya mdaharo wa nani atatwaa tuzo ya Ballon d'Or


Cristiano Ronaldo anapewa nafasi kubwa ya kutwaa tuzo ya Ballon d'Or na kulingana na rekodi na Lionel Messi kwa mara ya kwanza.

Watu wengi walitegemea kocha wa Real Madrid, Mfaransa Zinedine Zidane naye angeonesha upande anaoupa asilimia kubwa katika  kinyang'anyiro hicho, lakini imekuwa tofauti.

Zidane amedhihirisha kwamba hana mpango wa kumpa ushindi mchezaji yeyote anayewania tuzo hiyo.

Kwa mujibu wa taarifa ya Daily Mirror, Mfaransa huyo alisema: "Siko tayari kuwa upande wowote katika mdaharo huu".

"Tuzo ya Ballon d'Or, ni kitu kingine kabisa, kitu ambacho kinawahitaji watu kupiga kula."
Majibu ya Zidane juu ya mdaharo wa nani atatwaa tuzo ya Ballon d'Or Majibu ya Zidane juu ya mdaharo wa nani atatwaa tuzo ya Ballon d'Or Reviewed by Zero Degree on 10/17/2017 06:47:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.