Loading...

Haya hapa matokeo ya Darasa la 7 mwaka 2017


Baraza la Taifa la Mitihani (NECTA) limetangaza matokeo ya mtihani wa Kumaliza Elimu ya Msingi kwa mwaka 2017.

Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani la Tanzania, Dkt Chares Msonde 
Kwa mwaka 2017 ufaulu wa wanafunzi umeongezeka kwa asilimia 2.4 kutoka mwaka 2016, idadi ya wanafunzi waliofanya mtihani ni 909,950 na wanafunzi 662,035 wamefaulu.

Kuyaona matokeo hayo "BOFYA HAPA"
Haya hapa matokeo ya Darasa la 7 mwaka 2017 Haya hapa matokeo ya Darasa la 7 mwaka 2017 Reviewed by Zero Degree on 10/20/2017 11:49:00 AM Rating: 5

Powered by Blogger.