Loading...

Rais Magufuli atumbua wakurugenzi wawili Bukoba


Rais Dkt. John Pombe Magufuli ametengua uteuzi wa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Bukoba, Erasto Mfugale na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Bukoba Vijijini, Mwantum Dau.

Rais Magufuli atumbua wakurugenzi wawili Bukoba Rais Magufuli atumbua wakurugenzi wawili Bukoba Reviewed by Zero Degree on 11/06/2017 07:41:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.