Loading...

Video: Tazama wimbo mpya wa Papii Kocha - Waambie


MWANAMUZIKI Johnson Nguza maarufu kama Papii Kocha ameachia video ya ngoma yake mpya na ya kwanza tangu atoke gerezani kwa msamaha wa Rais Dkt. John Magufuli.

Ngoma hiyo aliyoimba na baba yake, mzee Nguza Vicking (Babu Seya) ameipa jina la Waambie ambayo imeandikwa na Natasha wa THT huku audio imetengenezwa na Ema The Boy na video kuandaliwa na Director Destro wa Studio za Wanene.

Video: Tazama wimbo mpya wa Papii Kocha - Waambie Video: Tazama wimbo mpya wa Papii Kocha - Waambie Reviewed by Zero Degree on 2/16/2018 08:12:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.