Bayern Munich yazipiku Chelsea, Liverpool na Manchester United kwa kiungo huyu
Kikosi cha klabu ya Bayern Munich |
Kwa mujibu wa tarifa za magazeti barani Ulaya, hatimaye James Rodriguez atakamilisha uhamisho wake kwenda Bayern Munich akitokea Real Madrid kwenye majira ya joto.
James aliondoka katika dimba la Santiago Bernabeu Allianz Arena katika kipindi cha majira ya joto mwaka jana.
Nyota huyo kutoka Colombia alikubali kujiunga na vigogo hao wa Ujerumani kwa mkataba wa mkopo wa miaka miwili kukiwa na kipengele cha klabu hiyo kuweza kumnunua moja kwa moja kwenye mkataba huo.
Licha ya ukweli kwamba, bado hajatimiza hata mwaka mmoja tangu nyota huyo asaini mkataba wa mkopo na klabu hiyo, Bayern Munich wako tayari kumsajili moja kwa moja.
James Rodriguez ameonyesha uwezo mkubwa katika klabu ya Bayern Munich hadi hivi sasa. Kiwango chake kimezivutia klabu kama Chelsea, Manchester United na Liverpool kufanya mchakato wa kumsajili kiuno huyo kwenye majira ya joto.
Licha ya ukweli kwamba, bado hajatimiza hata mwaka mmoja tangu nyota huyo asaini mkataba wa mkopo na klabu hiyo, Bayern Munich wako tayari kumsajili moja kwa moja.
James Rodriguez |
Lakini wakurugenzi wa 'the Bavarian' wameshaamua tayari watalipia pauni milioni 42 ambazo zinahitajika kwenye kipengele kinachoiruhusu klabu hiyo kumsajili raia huyo wa Colombia moja kwa moja.
Kama Bayern Munich watamsajili moja kwa moja, itakuwa na maana kuwa Real Madrid wataingiza zaidi ya pauni milioni 43.65 kwenye mchakato mzima.
Bayern Munich yazipiku Chelsea, Liverpool na Manchester United kwa kiungo huyu
Reviewed by Zero Degree
on
4/04/2018 10:52:00 AM
Rating: