Simba SC yaacha wachezaji wanne
Hayo yamebainika mara baada ya uongozi wa timu hiyo kuweka wazi kikosi chenye jumla ya wachezaji 18 ambacho kimeondoka nchini bila ya kuwajumuisha Emmanuel Okwi, John Bocco, James Kotei pamoja na Nicholas Gyan.
Kikosi cha Simba kilichosafiri leo kimeongozwa na Aishi Manula, Said Mohamed, Ally Salim, Ally Shomary, Paul Bukaba, Erasto Nyoni, Yusufu Mlipili, Mohamed Hussein, Jonas Mkude.
Wengine ni Shomari Kapombe, Mzamiru Yassin, Marcel Kaheza, Moses Kitandu, Rashid Juma, Said Hamis Ndemla, Haruna Niyonzima, Shiza Kichuya pamoja na Mohamed Ibrahim.
Simba SC wanatarajiwa kufungua dimba na Kariobangi Sharks Juni 3, 2018 kabla ya mahasimu wao wa jadi, Yanga kuvaana na Kakamega Homeboys Juni 4, mechi zote zikichezwa uwanja wa Afraha, Nakuru, Gor Mahia itaanza na JKU Juni 3, wakati Singida United itaanza na AFC Leopards Juni 5.

Reviewed by Zero Degree
on
5/31/2018 01:35:00 PM
Rating: