Loading...

Rasmi Azam FC yamtambulisha Tafadzwa Kutinyu


Uongozi wa klabu ya Azam FC umemtambulisha rasmi aliyekuwa mchezaji wa Singida United, Tafadzwa Kutinyu.

Kutinyu ameingia mkataba wa miaka miwili na Azam ambapo ataingia kambini Julai 3 2018 kuanza rasmi maandalizi ya msimu ujao.

Mzimbabwe huyo alijunga na Singida United akitokea klabu ya Chicken Inn inayoshiriki ligi kuu Zimbambwe.

Kutinyu amesaini Azam, usajili unaoelezwa umegharimu kiasi cha dola 20,00 kwa Singida kumuachia.
Rasmi Azam FC yamtambulisha Tafadzwa Kutinyu Rasmi Azam FC yamtambulisha Tafadzwa Kutinyu Reviewed by Zero Degree on 6/03/2018 08:05:00 AM Rating: 5

Powered by Blogger.