Wakati usemi wa Konki ukiendelea kupamba moto midomoni mwa watu, msanii mkongwe kwenye muziki wa bongo fleva, Dudubaya ameachia video ya wimbo wake mpya ‘Konki‘ akiwa na Rayvanny toka WCB.
Video imeongozwa na Kenny toka Zoom Production. Kuitazama bofya hapo chini:
Dudu Baya X Rayvanny - KONKI (Official Music Video)
Reviewed by Zero Degree
on
12/14/2018 07:35:00 AM
Rating: 5