JPM aifuta barua ya mabadiliko ya rangi za bendera ya taifa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amefuta mara moja maelekezo ya barua yenye kumbukumbu namba CHA.56/193/02/16 ya tarehe 23 Novemba 2018 iliyoandikwa na Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia (Baada ya kupokea maelekezo ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi) kwenda kwa Wakuu wa Vyuo Vikuu na Vyuo Vikuu Shirikishi na Taasisizilizo chini ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia.
Taarifa kamilii:
JPM aifuta barua ya mabadiliko ya rangi za bendera ya taifa
Reviewed by Zero Degree
on
12/14/2018 02:35:00 PM
Rating: