Msanii Omary Faraji Nyembo maarufu kama Ommy Dimpoz, ameachia wimbo mpya unakwenda kwa jina la 'Ni wewe'. Audio imetengenezwa na Yogo Beats, huku video yake ikiongozwa na Kevin Bosco.