Bailly kurejea dimbani mwezi Desemba
Bailly alifanyiwa upasuaji wa kifundo cha mguu na atarejea jijini Manchester, akitokea Hispania alikoenda kufanyiwa matibabu.
Beki huyo wa kimataifa wa Ivory Coast, anatarajiwa kuanza mazoezi mepesi kabla ya kujiunga na wenzake wa kikosi cha kwanza cha Man United.
Beki huyo wa kimataifa wa Ivory Coast, anatarajiwa kuanza mazoezi mepesi kabla ya kujiunga na wenzake wa kikosi cha kwanza cha Man United.
Bailly kurejea dimbani mwezi Desemba
Reviewed by Zero Degree
on
9/19/2019 07:50:00 AM
Rating: