Majina ya watumishi watakaosimamia Uchaguzi wa Serikali za Mitaa
WATUMISHI wa Umma 184 watasimamia Uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba mwaka huu kutoka kada mbalimbali wakiwamo Wakuu wa Idara ya Elimu za Msingi, Kitengo cha Sheria, Takwimu na Ufuatiliaji na Kitengo cha Uchaguzi.
Taarifa iliyotolewa na Waziri Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), watumishi hao kutoka idara hizo zinazosimamiwa na Ofisi za Wakuu wa Wilaya kutoka mikoa mbalimbali nchini, wataapishwa kesho Alhamisi Septemba 12 ambapo uongozi wa mikoa utaratibu shughuli ya kuapishwa kwao.
TAZAMA MAJINA YA WATUMISHI WA WALIOTEULIWA KUSIMAMIA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA 2019
Majina ya watumishi watakaosimamia Uchaguzi wa Serikali za Mitaa
Reviewed by Zero Degree
on
9/11/2019 06:35:00 AM
Rating:
