Tanzania yapanda nafasi 2 viwango vya soka FIFA
Kwa mujibu wa viwango hivyo, Ubelgiji bado inashika namba moja ikifuatiwa na mabingwa wa dunia Ufaransa, Brazil ikishika nafasi ya tatu, England ya nne na Ureno ni nia tano.
Kupanda kwa nafasi mbili za Stars kunatokana na kufanya vizuri katika michuano ya kuwania kufuzu fainali za kombe la dunia Qatar 2022 ambapo imefuzu hatua ya makundi.
Uganda bado inaongoza kwa nchi za ukanda wa Afrika Mashariki na Kati ikishika nafasi ya 80, ikifuatiwa na Kenya kwenye namba 107 na Sudan inayotarajiwa kucheza na Taifa Stars kesho kutwa iko nafasi ya 128.
Rwanda ni ya 130, Burundi 144, Ethiopia ya 151, Sudan Kusini ya 173,Djibouti ya 186, Somalia 199 na Eritrea ya 207. Senegal ndio kinara wa Afrika ikishika nafasi ya 20 ikifuatiwa na Nigeria nafasi ya 34 huku Mabingwa wa Afrika Algeria ni wa 38, Morocco 39 na Misri ni wa 49.

Kwenye 10 bora zimeendelea kuwa nchi zilezile zikibadilishana tu namba, ambapo Uruguay ni ya sita, Hispania inashika nafasi ya saba, Croatia ni ya nane, Colombia ya tisa na Argentina inashika nafasi ya 10.
Tanzania yapanda nafasi 2 viwango vya soka FIFA
Reviewed by Zero Degree
on
9/20/2019 07:30:00 AM
Rating: