Loading...

Jengo la kihistoria Beit-al-Ajaib laanguka

Jengo la kihistoria la Beit-al-Ajaib


Jengo la kihistoria la Beit-al-Ajaib lililopo mji Mkongwe mjini Unguja, Zanzibar lililokuwa likifanyiwa ukarabati limeanguka huku watu kadhaa wakidaiwa kufukiwa na kifusi.

Jitihada za kuwaokoa zinaendelea kufanywa na kikosi maalumu cha huduma za uokoaji.

Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi amefika eneo la tukio na kupewa taarifa kuhusu uokoaji unaoendelea.

Endelea kufuatilia mtandao huu kwa habari zaidi.
Jengo la kihistoria Beit-al-Ajaib laanguka  Jengo la kihistoria Beit-al-Ajaib laanguka Reviewed by Zero Degree on 12/25/2020 05:55:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.