Loading...

TANZIA : Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Anna Mghwira afariki dunia

Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Anna Elisha Mghwira

Aliyewahi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, na Mgombea urais kupitia Chama cha ACT  Wazalendo  @actwazalendo_official mwaka 2015, Anna Mghwira.

Mama Anna Elisha Mghwira, amefariki dunia leo  akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Mount Meru, Arusha.

Endelea kufuatilia ukurasa huu kwa taarifa zaidi.
TANZIA : Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Anna Mghwira afariki dunia TANZIA : Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro,  Anna Mghwira afariki dunia Reviewed by Zero Degree on 7/22/2021 02:13:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.