Loading...

BreakingNews: Watumishi 5 wa TRA wamefariki kwa ajali


Watumishi 5 wa TRA kikosi kazi cha Fast Track wamefariki kwa ajali katika eneo la Hanseketwa - Old Vwawa wakati wakifukuzana na gari iliyodhaniwa kubeba magendo.


Kulingana na taarifa ya ITV, kamanda wa Polisi mkoa  wa Songwe, Janeth Magomi amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo.


Kwa Taarifa zaidi endelea kufuatilia blog yetu.

BreakingNews: Watumishi 5 wa TRA wamefariki kwa ajali BreakingNews: Watumishi 5 wa TRA wamefariki kwa ajali Reviewed by Zero Degree on 8/23/2021 11:28:00 AM Rating: 5

Powered by Blogger.