Loading...

CAF yaiondoa Biashara United katika michuano ya Kombe la Shirikisho


Shirikiho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) limeiondoa timu ya Biashara United ya Tanzania katika mashindano ya Kombe la 
Shirikisho kwa kutofika uwanjani kwenye mechi dhidi ya Ahly Tripoli ya Libya.


CAF yaiondoa Biashara United katika michuano ya Kombe la Shirikisho CAF yaiondoa Biashara United katika michuano ya Kombe la Shirikisho Reviewed by Zero Degree on 11/03/2021 09:50:00 AM Rating: 5

Powered by Blogger.