Loading...

Shaffih Dauda afungiwa miaka 5



Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF) limemfungia kujihusisha na shughuli za mpira wa miguu ndani na nje ya nchi na kulipa faini ya sh. milioni 6, Shaffih Dauda ambaye nini Mjumbwa mkutano mkuu wa TFF kwa tuhuma za kutoa taarifa za uongo na kuchochea umma kupitia mtandao wake wa kijamii wa instagram.





Shaffih Dauda afungiwa miaka 5 Shaffih Dauda afungiwa miaka 5 Reviewed by Zero Degree on 2/16/2022 10:31:00 AM Rating: 5

Powered by Blogger.