Aziz Ki mchezaji bora Yanga SC mwezi Machi
KIUNGO mshambuliaji wa Kimataifa wa Burkina Faso, Stephane Aziz Ki amechaguliwa Mchezaji Bora wa Yanga kwa mwezi Machi.
Ki amewapiku beki Ibrahim Hamad ‘Bacca’ na kiungo Mudathir Yahya Abbas alioingia nao Fainali – na kwa ushindi huo atapatiwa kitita en cha Sh. Milioni 3 kutoka kwa wadhamini, kampuni ya NIC Insurance.
Aziz Ki mchezaji bora Yanga SC mwezi Machi
Reviewed by Zero Degree
on
4/18/2024 08:15:00 AM
Rating:
