Loading...

Barabara yameguka Kimazichana


Wakazi wa Kimazichana Mkoani Pwani wamefikwaa na hadha ya kumogoka kwa sehemu ya barabara kuu inayounganisha maeneo mbalimbali ikiwemo mikoa ya kusini mapema hii leo.



Akizungumza shuhuda wa tukio hilo aliyejitambulisha kuwa Mudhihiri Muhsin kutoka eneo hilo amesema kuathirika kwa barabara hiyo ni kutokana na mvua zinazoendelea Kunyesha Huku akisema kiasi kingi cha mvua iliyonyesha alfajiri ya kuamkia leo ndiyo imepelekea madhara hayo.

Chanzo: Mtanzania
Barabara yameguka Kimazichana Barabara yameguka Kimazichana Reviewed by Zero Degree on 4/28/2024 12:45:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.