skip to main |
skip to sidebar
Kuelekea mchezo wa Derby ya Kariakoo Wababe Simba na Yanga wanaenda kukutana siku ya Jumamosi April 20, 2024 waamuzi wa mtanange huo wameshajulikana.
- Mwamuzi wa Kati – Ramadhani Kayoko
- Line 1 – Frank Komba
- Line 2 – Janneth Balama
- Kamisaa – Heri Sasi
Mwamuzi mchezo wa Simba na Yanga awekwa wazi
Reviewed by
Zero Degree
on
4/18/2024 02:30:00 PM
Rating:
5