Loading...

Pacome, Aucho wanatarajiwa kucheza dhidi ya Simba SC



Pacome, Yao, Aucho wanatarajiwa kurejea uwanjani kabla ya mchezo na watani Sao Simba unaotarajiwa kufanyika April 20, 2024 katika Uwanja wa Benjamin Mkapa.

Wachezaji hao wote wameshindwa kucheza michezo miwili ya ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Mamelodi Sundowns katakana na kuwa majeruhi.
Pacome, Aucho wanatarajiwa kucheza dhidi ya Simba SC Pacome, Aucho wanatarajiwa kucheza dhidi ya Simba SC Reviewed by Zero Degree on 4/08/2024 10:05:00 AM Rating: 5

Powered by Blogger.