Loading...

Rais Samia ateua viongozi watatu wa mahakama



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteua Bw. Sylvester Joseph Kainda kuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania.



Kabla ya uteuzi huu Bw. Kainda alikuwa Msajili wa Mahakama ya Rufani.
Rais Samia ateua viongozi watatu wa mahakama Rais Samia ateua viongozi watatu wa mahakama Reviewed by Zero Degree on 4/03/2024 01:18:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.