Loading...

Davido atangaza kuacha Muziki


Mwimbaji staa wa Nigeria #Davido ametangaza kuwa Album yake ijayo itakuwa ya mwisho na ataachana na Muziki. Davido amefunguka hayo kwenye insta story yake ambapo ameandika.
Mwimbaji staa wa Nigeria #Davido ametangaza kuwa Album yake ijayo itakuwa ya mwisho na ataachana na Muziki.

Davido amefunguka hayo kwenye insta story yake ambapo ameandika “Nyie nyote mnataka sana niwe nje ya mchezo? Sasa baada ya Album yangu inayofuata, sitafanya Muziki tena. Hivyo mtakuwa na amani.” ameandika Davido.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Davido atangaza kuacha Muziki Davido atangaza kuacha Muziki Reviewed by Zero Degree on 5/10/2024 02:45:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.