Dube aitwa kwenye kikosi cha Timu ya Taifa Zimbabwe
Kocha wa timu ya Taifa ya Zimbabwe, Michael Nees ametaja Kikosi cha timu ya taifa hilo huku mshambuliaji wa klabu ya Yanga Sc, Prince Dube (27) akijumuishwa kwenye kikosi hicho kwa ajili ya mechi mbili za kufuzu AFCON 2025 dhidi ya Kenya na Cameroon.
Dube (27) anatarajiwa kuripoti kambini Jumapili ya Septemba 1, 2024 sambamba na wachezaji wenzake pamoja na benchi la ufundi.
MAKIPA:
Washington Arubi (Marumo Gallants), Marley Tavaziva (Brentford), Bernard Donovan (Chicken Inn)
MABEKI:
Gerald Takwara (Al Minaa SC), Brendan Galloway (Plymouth Argyle), Munashe Garananga (FC Copenhagen), Andrew Mbeba (Highlanders), Godknows Murwira (Caps United), Emmanuel Jalai (Dynamos), Teenage Hadebe*
VIUNGO:
Marshall Munetsi (Stade de Reims), Andy Rinomhota (Cardiff City), Jordan Zemura (Udinese), Walter Musona (Simba Bhora), Daniel Msendami (Marumo Gallants), Brian Banda (FC Platinum), Tawanda Maswanhise (Motherwell), Richard Hachiro (Ngezi Platinum), Tawanda Chirewa (Wolverhampton Wanderers)
WASHAMBULIAJI:
KIKOSI KAMILI

Tinotenda Kadewere (FC Nantes), Douglas Mapfumo (Polokwane City), Prince Dube (Young Africans), Obriel Chirinda (Ngezi Platinum)
Dube aitwa kwenye kikosi cha Timu ya Taifa Zimbabwe
Reviewed by Zero Degree
on
8/27/2024 10:41:00 PM
Rating: