Loading...

Dkt. Tulia, Mkurugenzi wa Asas Diaries wakutana na kufanya mazungumzo

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, akisalimiana na Mkurugenzi wa Kampuni ya Asas Diaries Iringa, Ndg. Ahmed Salim Abri 


Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, amekutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi wa Kampuni ya Asas Diaries Iringa, Ndg. Ahmed Salim Abri alipomtembelea leo tarehe 14 Mei, 2025 ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.


Dkt. Tulia, Mkurugenzi wa Asas Diaries wakutana na kufanya mazungumzo Dkt. Tulia,  Mkurugenzi wa  Asas Diaries wakutana na kufanya mazungumzo Reviewed by Zero Degree on 5/14/2025 12:29:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.