Loading...

Maafisa wa Ukaguzi wa Mikoa ya Kodi wapewa mafunzo




Zanzibar Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) wakishilikiana na JICA wametoa Mafunzo kwa Vitendo kwa Maafisa wa Ukaguzi wa Mikoa ya Kodi, Idara ya Walipakodi wa Kati (MTD), Idara ya Walipakodi Wakubwa (LTD) pamoja na TRA Zanzibar.


Mafunzo hayo yanafanyika kwa muda wa siku 5 kuanzia 12 Mei, 2025 katika Ukumbi wa TRA Zanzibar.















Maafisa wa Ukaguzi wa Mikoa ya Kodi wapewa mafunzo Maafisa wa Ukaguzi wa Mikoa ya Kodi wapewa mafunzo Reviewed by Zero Degree on 5/15/2025 11:15:00 AM Rating: 5

Powered by Blogger.