Loading...

Picha: Wabunge wakitoa pongezi kwa Waziri wa Viwanda na Biashara, Dkt. Selemani Jafo

Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Selemani Jafo (Mb) na Naibu Waziri wa Wizara hiyo Mhe. Exaud Kigahe wakipongezwa na wabunge mbalimbali



Wabunge mbalimbali wakitoa pongezi kwa Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Selemani Jafo (Mb) na Naibu Waziri wa Wizara hiyo Mhe. Exaud Kigahe (Mb) baada ya Bajeti ya Wizara hiyo kupitishwa na Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mei 14,2025 Bungeni Jijini Dodoma.






















Picha: Wabunge wakitoa pongezi kwa Waziri wa Viwanda na Biashara, Dkt. Selemani Jafo Picha: Wabunge wakitoa pongezi kwa Waziri wa Viwanda na Biashara, Dkt. Selemani Jafo Reviewed by Zero Degree on 5/15/2025 04:07:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.