Dkt. Jafo afanya ziara katika Kiwanda cha kutengeneza Vioo (picha)
Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Selemani Jafo (Mb) akiwasili katika Kiwanda cha kutengeneza Vioo cha Salehbhah kilichopo Jijini Dar es Salaam Julai 10, 2025.
Dkt. Jafo amefanya ziara hiyo ili kuona uzalishaji wa vioo vinavyotumika katika ujenzi pamoja na kuona changamoto walizonazo ili kuweza kuzifanyia kazi.
Dkt. Jafo afanya ziara katika Kiwanda cha kutengeneza Vioo (picha)
Reviewed by Zero Degree
on
7/10/2025 01:56:00 PM
Rating:
