Dkt. Selemani Jafo, Balozi wa Uganda wafanya mazungumzo
Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Dkt.Selemani Jafo (Mb) amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Uganda nchini Tanzania, Mhe.Balozi Kanali Mstaafu Fred Mwesigye Julai 01, 2025 katika Ofisi ndogo ya Wizara jijini Dar es Salaam.
Mazungumzo hayo yamelenga katika kuendeleza na kuimarisha Ushirikiano uliopo wa Biashara na shughuli za Uwekezaji baina ya nchi hizo mbili.
Dkt. Selemani Jafo, Balozi wa Uganda wafanya mazungumzo
Reviewed by Zero Degree
on
7/01/2025 04:13:00 PM
Rating:
Reviewed by Zero Degree
on
7/01/2025 04:13:00 PM
Rating:



