Loading...

Matukio mbalimbali Maandalizi ya uzinduzi wa Bandari Kavu ya Kwala


Maandalizi ya uzinduzi wa Bandari Kavu ya Kwala na uanzishaji wa huduma ya usafiri ya treni ya mizigo ya reli ya kisasa (SGR) kati ya Dar es Salaam na Dodoma, sambamba na upokeaji wa mabehewa mapya na yaliyokarabatiwa ya reli ya zamani (MGR) Kwala, mkoani Pwani.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika uzinduzi huo kesho tarehe 31 Julai 2025.

Matukio katika picha: 



















Matukio mbalimbali Maandalizi ya uzinduzi wa Bandari Kavu ya Kwala Matukio mbalimbali Maandalizi ya uzinduzi wa Bandari Kavu ya Kwala Reviewed by Zero Degree on 7/30/2025 11:46:00 AM Rating: 5

Powered by Blogger.