Loading...

Dkt. Hashil aongoza kikao cha Nne (4) cha Kamati ya Pamoja ya Biashara (Joint Trade Commitie-JTC)

Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara,  Dkt. Hashil Abdallah (kulia) akiwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Biashara na Viwanda wa Zambia, Bi. Lilian Bwalya

Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara, Dkt. Hashil Abdallah ameongoza kikao cha Nne (4) cha Kamati ya Pamoja ya Biashara (Joint Trade Commitie-JTC) kati ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Zambia ngazi ya Makatibu Wakuu Agosti 20, 2025 Nakonde Zambia.

Mkutano huo ngazi ya Makatibu Wakuu umetanguliwa na Mkutano wa Watalaam uliofanyika Agosti 18 na 19, 2025 Nakonde, Zambia.
















Credits: Wizara ya Viwanda na Biashara
Dkt. Hashil aongoza kikao cha Nne (4) cha Kamati ya Pamoja ya Biashara (Joint Trade Commitie-JTC) Dkt. Hashil aongoza kikao cha Nne (4) cha Kamati ya Pamoja ya Biashara (Joint Trade Commitie-JTC) Reviewed by Zero Degree on 8/20/2025 06:58:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.