Loading...

Dkt. Samia Suluhu arejesha Fomu ya kugombea Urais INEC

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na Katibu wa CCM, Dkt. Emanuel Nchimbi wakikabidhi Fomu ya urais INEC
Mgombea wa Nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan arejesha Fomu za kugombea nafasi hiyo katika Ofisi za Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Njedengwa Jijini Dodoma.












Dkt. Samia Suluhu arejesha Fomu ya kugombea Urais INEC Dkt.  Samia  Suluhu  arejesha Fomu  ya  kugombea  Urais  INEC Reviewed by Zero Degree on 8/27/2025 11:04:00 AM Rating: 5

Powered by Blogger.