Majina yote ya wagombea ubunge kupitia CCM
Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) katika kikao chake kilichofanyika leo tarehe 23 Agosti, 2025 imefanya uteuzi wa mwisho wa majina ya wanachama wanaoomba nafasi za Ubunge na majina ya wanachama wanaoomba nafasi ya Ujumbe wa Baraza la Wawakilishi kwa majimbo na Viti Maalum.
Tazama Orodha ya Walioteuliwa Kugombea Ubunge kupitia CCM katika Uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29, 2025 katika picha hapo chini:
Majina yote ya wagombea ubunge kupitia CCM
Reviewed by Zero Degree
on
8/24/2025 10:26:00 AM
Rating:
