Loading...

Mzize anaendelea kuitumikia Yanga SC


Klabu ya Yanga SC imefanikiwa kumshawishi mshambuliaji wake, Clement Mzize kuendelea kusalia katika klabu hiyo inayoshiriki ligi kuu ya Tanzania Bara.

Mzize anaendelea kuitumikia Yanga SC kwa muda ambao bado haujawekwa hadharani hadi hivi sasa. Na hiyo itazima tetesi zote zilizokuwa zikiendelea mitandaoni, zikimhusisha mshambuliaji huyo wa Taifa Stars kuondoka Yanga.
Mzize anaendelea kuitumikia Yanga SC Mzize anaendelea kuitumikia Yanga SC Reviewed by Zero Degree on 8/27/2025 12:32:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.