Loading...

Rais Samia atunukiwa Nishani ya Heshima "The Grand Cordon"

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Dkt. Samia Suluhu akivalisha nishani

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akitunukiwa Nishani ya Heshima ya Juu ya Baraza la Michezo ya Majeshi Duniani (The Grand Cordon) na Makamu wa Rais wa CISM Kanda ya Afrika Meja Jenerali Maikano Abdullahi kutoka Nigeria kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 14 Agosti, 2025.

Picha: Matukio mbalimbali katika hafla hiyo














Rais Samia atunukiwa Nishani ya Heshima "The Grand Cordon" Rais Samia atunukiwa Nishani ya Heshima "The Grand Cordon" Reviewed by Zero Degree on 8/14/2025 05:03:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.