TFF imemteua Mirambo kuwa Kaimu Katibu Mkuu
Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), imemteua Oscar
Uteuzi wa Mirambo ambaye ni Mkurugenzi wa Ufundi wa TFF utaanza rasmi Oktoba 1, 2025.
Mirambo anachukua nafasi ya Wilfred Kidao ambaye mkataba wake unamalizika Septemba 30, 2025.
Taarifa ya uteuzi huo:
TFF imemteua Mirambo kuwa Kaimu Katibu Mkuu
Reviewed by Zero Degree
on
9/24/2025 05:50:00 PM
Rating:
