Simba imekanusha taarifa inayosambazwa mitandaoni kuhusiana na Rais wao, Evans Aveva
Jana Mei 25, 2017 ziliripotiwa habari za uongo katika mitandao ya kijamii kuwa wekundu wa Msimbazi Simba kupitia kwa Rais wao, Evans Aveva wamekubali nafasi ya mshindi wa pili na kufuta malalamiko yao FIFA kuhusiana na kuituhumu TFF kutotenda haki.
Simba imekanusha taarifa inayosambazwa mitandaoni kuhusiana na Rais wao, Evans Aveva
Reviewed by Zero Degree
on
5/26/2017 09:56:00 AM
Rating: