Gazeti la Tanzania Daima limeandikia barua ya kuomba radhi kwa Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) Dkt. Hassan Abbas baada ya gazeti hilo kutoa taarifa yenye kichwa cha habari ‘Asilimia 67 ya Watanzania wanatumia Dawa za kufubaza Virusi vya Ukimwi’.
Taarifa iliyochapishwa na gazeti la Tanzania daima
Gazeti la Tanzania Daima laomba radhi
Reviewed by Zero Degree
on
10/23/2017 10:51:00 AM
Rating: 5