Loading...

Janeth Masaburi ateuliwa kuwa Mbunge


Rais John Magufuli, amemteua Janeth Masaburi kuwa Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Rais Magufuli amteua Janeth Masaburi kuwa Mbunge
Magufuli amefanya uteuzi huo kwa mujibu wa ibara ya 66 (1)(e) ya katiba inayompa mamlaka ya kuteua wabunge 10.

Taarifa iliyotolewa leo na Mkurugenzi wa Mawasiliano wa ya Rais imeeleza kuwa Janeth Masaburi ataapishwa kwa mujibu wa sheria na taratibu zitakazotangazwa na Bunge.
Janeth Masaburi ateuliwa kuwa Mbunge Janeth Masaburi ateuliwa kuwa Mbunge Reviewed by Zero Degree on 10/22/2017 12:39:00 AM Rating: 5

Powered by Blogger.