Loading...

Video za ngono... Amber Rutty hatarini kuhukumiwa kifungo cha maisha jela


KUFUATIA video zake chafu kusambaa mitandaoni akifanya mapenzi na mwanamme kinyume cha maumbile yake, video queen maarufu Bongo, Amber Rutty huenda akakumbana na adhabu ya kifungo cha maisha jela au miaka 30 jela.
Hayo yameelezwa na Wakili Alberto Msando kupitia ukurasa wake wa Instagram huku akiambatanisha sheria ya nchi inayoweza kutumika kumtia hatiani msanii huyo iwapo atafikishwa mahakamani na kukutwa na hatia ya kumruhusu mwanamme huyo kumuingilia kinyume cha maumbile.

Katika sheria hiyo, Msando ameandika; Kifungu cha 154…adhabu ni kifungo cha maisha au miaka isiyopungua 30.”




Video za ngono... Amber Rutty hatarini kuhukumiwa kifungo cha maisha jela Video za ngono... Amber Rutty hatarini kuhukumiwa kifungo cha maisha jela Reviewed by Zero Degree on 10/26/2018 06:05:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.