Loading...

Huu ndio waraka uliotolewa na BASATA kuhusu Amber Rutty


Baraza la Sanaa Tanzania (BASATA) limetoa barua maalum ambayo inatoa taarifa kuwa Amber Ruti sio msanii hapa nchini, kwani hatambuliki na hajasajiliwa na Baraza hilo.

Kwa mujibu wa barua hiyo imeelezea kwamba iwapo Amber Rutty atafanya kosa lolote na kuvunja sheria, wahusika watamchukulia hatua stahili na halitajihusisha nae.

Sambamba na hilo barua hiyo imewaasa wasanii wote kufuata maadili na kutovunja sheria za nchi, ili kutetea sanaa yao.

Usome hapa:


Huu ndio waraka uliotolewa na BASATA kuhusu Amber Rutty Huu ndio waraka uliotolewa na BASATA kuhusu Amber Rutty Reviewed by Zero Degree on 10/27/2018 04:05:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.