Kagere awainua mashabiki wa Simba Taifa
Goli la Simba limefungwa na Meddie Kagere kunako dakika ya 65 ya mchezo.
Kwa sasa Simba wapo nafasi ya pili kundi D wakiwa na pointi 6 huku Al Ahly akiongoza kundi hilo kwa alama 7.
Simba itahitaji alama tatu muhimu kutoka kwa AS Vita ya DR Congo, ili ijiwekee mazingira mazuri ya kufuzu robo fainali ya klabu bingwa barani Afrika.
Kwa sasa Simba wapo nafasi ya pili kundi D wakiwa na pointi 6 huku Al Ahly akiongoza kundi hilo kwa alama 7.
Simba itahitaji alama tatu muhimu kutoka kwa AS Vita ya DR Congo, ili ijiwekee mazingira mazuri ya kufuzu robo fainali ya klabu bingwa barani Afrika.
Kagere awainua mashabiki wa Simba Taifa
Reviewed by Zero Degree
on
2/12/2019 06:35:00 PM
Rating: